Mwanamke akamatwa Jomvu kwa kumzuia binti kufanya mtihani wa KPSEA
Description (show more)
Maafisa wa polisi eneo la Jomvu, Kaunti ya Mombasa, wamemkamata mwanamke mmoja kwa tuhuma za kumfungia binti yake ndani ya nyumba na kumzuia kufanya mtihani wa Gredi ya Sita wa KPSEA. Inadaiwa kuwa mwanamke huyo alichukua hatua hiyo akidai kuwa nambari ya mtihani wa binti yake ilikuwa ya kishetani.
Related Videos
More from Citizen TV Kenya
23:56🔴LIVE || TV47 News @ 1 P.M With Martin Githinji
· 795 views
34:38LIVE:Lunchtime News with Giverson Maina II 1st November 2026 II www.kbc.co.ke
· 943 views
1:24:28LIVE: Sunday Service from All Saints Cathedral II 1st November 2026 II www.kbc.co.ke
· 1.1K views
1:44:23Jubilee presidential hopeful Fred Matiang'i outlines his road to State House
· 5.8K views
49:45SUNDAY LIVE | IN THE HOUSE OF DCP | PART 2
· 13.9K views
4:12LIVE: Sunday Express II 1st November 2026 II www.kbc.co.ke
· 199 views
4:44Rivers in Athi basin bear brunt of pollution asindustrial waste is discharged into rivers
· 913 views
2:17Kenyan truck drivers decry harassment at border points over Ebola concerns
· 1.2K views
