Kenyans Live

Viongozi wa Jubilee wakutana kujadili mageuzi ya uongozi wa chama

Description (show more)

viongozi wa chama cha jubilee wamekuta katika makao makuu ya chama hicho hapa jijini nairobi kupanga mageuzi ya uongozi wa chama hicho kinachoongozwa na rais mstaafu uhuru kenyatta, pamoja na mikakati ya uchaguzi mkuu ujao.

Share: