Kenyans Live

Magavana wawataka viongozi wa dini kuongoza vita dhidi ya pombe haramu nchini

Description (show more)

Baraza la magavana nchini linasema linawahusisha viongozi wa dini katika juhudi mpya za kukabiliana na pombe haramu nchini.akizungumza mjini meru, mwenyekiti wa baraza la magavana na ambaye ni gavana wa tharaka nithi , muthomi njuki , amesema kanisa lina nafasi muhimu katika kulinda maadili ya jamii na linapaswa kuongoza kampeni ya kukomesha pombe haramu, hasa katika eneo la mlima kenya ambalo limeathirika zaidi.

Share: