Viongozi wa ODM waashiria kumuunga mkono Ruto kwa muhula wa pili
Description (show more)
Vinara wa chama cha ODM, wakiongozwa na mwenyekiti wa chama hicho, Gladys Wanga, wameonyesha kumuunga mkono Rais William Ruto, wakisema anastahili kuchaguliwa tena kwa muhula wa pili. Wakizungumza katika kaunti ya Migori, viongozi hao wamewataka wapinzani wao kueleza ajenda na mipango yao kwa Wakenya kabla ya kutangaza azma yao ya kuwania urais. Wamesisitiza umuhimu wa viongozi kueleza sera zao na namna wanavyonuia kushughulikia changamoto zinazowakabili wananchi.
Related Videos
More from Citizen TV Kenya
3:40:33Citizen TV Live:
· 26.6K views
59:42LIVE: Lunchtime News with Ben Troy NJue II 2nd November 2026 II www.kbc.co.ke
· 1.3K views
3:12:50LIVE: Good Morning Kenya II 2nd November 2026 II www.kbc.co.ke
· 1.8K views
37:41🔴LIVE || TV47 News @1pm with Brian Furaha
· 1.3K views
1:53:03🔴LIVE || 90 PLUS
· 4.9K views
1:49:23🔴LIVE || TV47 Saa Tano
· 1.3K views
23:22LIVE: Tamrini naye Sheila Yogo II 2nd November 2026 II www.kbc.co.ke
· 435 views
1:33Langata residents to benefit from free medical camp organised by KMPDU SG Davji Atellah
· 84 views
