Kenyans Live

Mgomo wa wahadhiri waingia wiki ya nne huku mazungumzo yakikwama

Description (show more)

Wanafunzi wa vyuo vikuu vya umma wataendelea kukosa masomo baada ya mazungumzo kati ya wahadhiri na serikali kukwama. Hii ni baada ya serikali kupunguza pendekezo la nyongeza ya mishahara kutoka shilingi bilioni 12 hadi bilioni 11 kwa mkataba wa mwaka 2025 hadi 2029. Wahadhiri wamekataa pendekezo hilo na kutishia kuendeleza mgomo ambao sasa umeingia wiki ya nne. Willy Lusige na taarifa zaidi.

Share: