Kenyans Live

Viongozi wanawake Kisii walaani kunyimwa kipaza sauti kwa mwenzao hafla ya Mashujaa Dei

Description (show more)

Viongozi kina mama kutoka Kisii wanaowania viti mbalimbali, wanaendelea kukemea tukio ambalo mmoja wao alinyanganywa kipaza Sauti katika hafla ya kuadhimisha siku ya mashujaa dei kule Igonga ,kaunti ya Kisii mbele ya umma na viongozi wa kaunti ya Kisii

Share: