Kenyans Live

Kinara wa Chama cha DCP Rigathi Gachagua ameahidi kuvipa kipaumbele vita dhidi ya Ufisadi

Description (show more)

Kinara wa Chama cha DCP Rigathi Gachagua ameahidi kuvipa kipaumbele vita dhidi ya Ufisadi serikalini ikiwa wakenya watauchagua upinzani kuliongoza taifa, akidai ufisadi ndio chanzo kikuu cha wakenya wanaoishi ughaibuni, kutowekeza nyumbani.

Share: