Upinzani waitaka IEBC kupiga msasa sajili ya wapiga kura
Description (show more)
Upinzani umeitaka IEBC kufanya uhakiki na kusafisha sajili ya wapiga kura kuelekea uchaguzi wa 2027. Viongozi wa upinzani pia wanataka tume kufanya mabadiliko katika teknolojia yake ili kuboresha ufanisi na uaminifu wa mchakato wa uchaguzi.
Related Videos
More from Citizen TV Kenya
2:35Sifuna azuiwa na uongozi wa chuo cha JKUAT Karen kuhudhuria mkutano katika chuo hicho
· 1 views
1:55Rais Ruto aendeleza mashambulizi yake dhidi ya Uhuru Kenyatta
· 2 views
3:15Rais William Ruto ataja upinzani kama kundi la watu wasio na mwelekeo, dira wala ajenda
· 10 views
2:56Watu 9 Wafariki Katika Ajali Mbili za Barabarani Machakos na Kisii
· 18 views
3:26Familia 300 Zarudi Mau Baada ya Kukosa Fidia ya Sh2.6B
· 12 views
2:20
2:23Watu watano waliuwawa Gotu , kaunti ya Isiolo jana Jumatano.
· 5 views
1:26Sifuna speaks after initially being denied access to a meeting at JKUAT’s Karen Campus
· 25 views
