Tume ya NCIC yampata waziri Ruku na mbunge wa Mukurweini na hatia ya matamshi ya uchochezi
190 viewsYouTube
Description (show more)
Tume ya uwiano na maridhiano ncic imempata waziri wa utumishi wa umma geoffrey ruku na kosa la kutoa matamshi ya kuleta mgawanyiko miongoni mwa wakazi wa mlima kenya. Kwa upande wake mbunge wa mukurweini aliyepatikana na hatia ya kutoa matamshi ya kuhatarisha wakenya walio na msimamo tofauti wa kisiasa ameagizwa kutoa matamshi ya kukanusha matamshi yake na kuhimiza uhuru wa wakenya kuunga mkono kiongozi yeyote wa kisiasa bila kudhulumiwa
Related Videos
More from Citizen TV Kenya
4:11
2:14
3:23MBADI: Sirkal osehero Luo | #RamogiTV
· 7 views
2:2368-year-old Enock Chelimo taken by armed, masked men in night raid
· 4 views
3:00Judiciary and police differ over handling of gang suspects
· 11 views
1:15Rising Stars Warejea Nyumbani Baada ya Kumaliza Nafasi ya 26 Kombe la Dunia
· 8 views
2:26Rising Lionesses Yafuzu Fainali Dakar, Sasa Yalenga Dhahabu Dhidi ya Australia
· 19 views
2:41IG Kanja appears in court over missing activist Mwaipaya denying police involvement in abductions
· 17 views
