Kenyans Live

Wakazi wa Ademasajida kaunti ya Wajir walalamikia upungufu wa maeneo ya malisho

Description (show more)

Wakazi wa Ademasajida katika Kaunti ya Wajir wameibua wasiwasi kuhusu ongezeko la makazi mapya katika maeneo ya malisho, wakitoa wito kwa idara za usalama kuchukua hatua na kuhamisha watu wanaoanzisha makazi katika maeneo yaliyotengwa kwa ajili ya ufugaji.

Share: