Mara Sugar yaanza msimu kwa ushindi dhidi ya Mombasa United
Description (show more)
Mara Sugar FC imeilaza Mombasa United mabao mawili kwa moja katika mechi ya Ligi Kuu ya Kenya iliyochezwa leo katika uwanja wa William Ole Ntimama mjini Narok. Wanasukari wa Mara walifunga mabao yao katika kipindi cha kwanza kupitia Kelvin Mwavuli na Alex Imbusia, na kwenda mapumzikoni wakiwa mbele kwa mabao mawili bila jibu. Mombasa United ilipata bao lake la kufutia machozi mwishoni mwa mchezo kupitia Laban Otieno, likiwa bao la kwanza la klabu hiyo katika historia yake ya Ligi Kuu ya Kenya. Ushindi huo ni wa kwanza kwa Mara Sugar msimu huu baada ya kuanza kwa sare, huku Mombasa United ikipata kichapo cha pili mfululizo tangu ilipoingia katika ligi hiyo.
Related Videos
More from Citizen TV Kenya
3:40:33Citizen TV Live:
· 26.6K views
59:42LIVE: Lunchtime News with Ben Troy NJue II 2nd November 2026 II www.kbc.co.ke
· 1.3K views
3:12:50LIVE: Good Morning Kenya II 2nd November 2026 II www.kbc.co.ke
· 1.8K views
37:41🔴LIVE || TV47 News @1pm with Brian Furaha
· 1.3K views
1:53:03🔴LIVE || 90 PLUS
· 4.9K views
1:49:23🔴LIVE || TV47 Saa Tano
· 1.3K views
23:22LIVE: Tamrini naye Sheila Yogo II 2nd November 2026 II www.kbc.co.ke
· 435 views
1:33Langata residents to benefit from free medical camp organised by KMPDU SG Davji Atellah
· 84 views
