Kenyans Live

Seneta wa Kajiado Samuel Seki atishia kususia wiki ya utamaduni wa Wamaasai Narok

Description (show more)

Samuel Seki, Seneta wa Kajiado na mshirika wa karibu wa aliyekuwa Naibu Rais Rigathi Gachagua , ametisha kuongoza jamii ya Wamaasai kususia Wiki ya Utamaduni wa jamii ya Maasai iliyopangwa kufanyika tarehe 10 hadi 14 Novemba mwaka huu Kaunti ya Narok.

Share: