Kenyans Live

Serikali yatakiwa kuongeza ufadhili wa elimu ya watu wenye ulemavu wa kuona

Description (show more)

Wito umetolewa kwa serikali kuongeza mgao wa fedha kwa taasisi zinazotoa elimu maalum, ili kuziwezesha kupata vifaa vya kutosha kwa wanafunzi wenye ulemavu.

Share: