Kenyans Live

Mgomo wa wahadhiri wa vyuo vikuu nchini waingia siku ya tano huku masomo yakiendelea kutatizika

Description (show more)

Mgomo wa wahadhiri wa vyuo vikuu nchini umeingia siku ya tano hii leo huku masomo yakiendelea kutatizika katika vyuo vingi vya umma. Baadhi ya wanafunzi sasa wakilalamikia kupoteza muda haswa kwa wale wanaojiandaa kwa mitihani ya mwisho.

Share:
#iNooroTVLive11:54:58

#iNooroTVLive

Inooro TVVernacular
· 102K views