Wakazi wanaoishi nyanda za juu wataka serikali kuchukua hatua za dharura kabla ya mvua ya elnino
Description (show more)
Wakazi wanaoishi katika maeneo yaliyo katika hatari ya mafuriko kaunti ya Mombasa wameikosoa serikali ya kaunti hiyo kwa kile wanachokieleza kuwa maandalizi duni, huku nchi ikijiandaa kukabiliana na mvua ya El Niño inayotarajiwa.Wakazi hao wanahofia kurejelewa kwa uharibifu ulioshuhudiwa wakati wa misimu iliyopita ya El Niño, wakisema mvua kubwa inaweza kusababisha mafuriko makubwa, kufurusha familia, kuvuruga shughuli za biashara na kuharibu nyumba pamoja na miundombinu muhimu.Wakati huo huo, shirika la Msalaba Mwekundu la Kenya limeongeza juhudi za kujiandaa, ikiwa ni pamoja na kutoa mafunzo kwa jamii kuhusu namna ya kukabiliana na majanga kabla ya mvua hiyo inayotarajiwa. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive
Related Videos
More from KBC Channel 1
33:36LIVE: Kurunzi Mashinani II 2nd November 2026 II www.kbc.co.ke
3:40:33Citizen TV Live:
59:42LIVE: Lunchtime News with Ben Troy NJue II 2nd November 2026 II www.kbc.co.ke
3:12:50LIVE: Good Morning Kenya II 2nd November 2026 II www.kbc.co.ke
37:41🔴LIVE || TV47 News @1pm with Brian Furaha
1:53:03🔴LIVE || 90 PLUS
1:49:23🔴LIVE || TV47 Saa Tano
23:22