Kenyans Live

Wavuvi Kilifi wataka sheria ya kudhibiti uvuvi ipitishwe

Description (show more)

Wavuvi wadogo katika Kaunti ya Kilifi wameeleza wasiwasi kuhusu kupungua kwa samaki katika bahari. Wanataka sheria ya kudhibiti uvuvi ipitishwe ili kusaidia kulinda rasilimali za baharini.

Share: