Ruto azitaka nchi za Afrika kupunguza mzigo wa madeni
373 viewsYouTube
Description (show more)
Rais William Ruto ameyataka mataifa ya bara la Afrika kupunguza mzigo wa madeni akisema kuwa yanaathiri pakubwa haki za watoto katika sekta za elimu, afya na hata chakula. Akizungumza katika kongamano la Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia watoto UNICEF nchini Marekani, Rais Ruto amesema kuwa madeni haya huathiri utekelezaji wa bajeti hivyo kupendekeza mataifa yanayokuwa yapewe nafasi ya kutosha kutoa huduma muhimu za kuimarisha watoto bila kuathiriwa na mzigo wa madeni. Rais Ruto pia alikutana na marais wa mataifa mbalimbali katika kongamano linaloendelea la Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa.
Related Videos
More from Citizen TV Kenya
1:32
1:32Gĩkundi gĩa Sauti Yangu gũtetia wongerereku wa ũnyamarania wa atumia na arume Nanyuki
· 4 views
2:04CS Ogamba: KCSE examination security system makes photographing papers impossible
· 13 views
10:57Kamati za Bunge zajadili utekelezaji wa mkataba wa wafanyakazi wa vyuo vikuu 2025–2029
· 28 views
1:29KTDA KŨGĨA NA MŨIKARĨRI GĨTĨ MWERŨ
· 5 views
2:11Bwawa kubwa kujengwa kupanua mradi wa umwagiliaji wa Galana-Kulalu
· 12 views
3:49Silvester Orego: Omenda mag 'empowerment' ing'ado e bengi; chalo rao ma ing'ado gi lee
· 2 views
2:18Waziri wa madini Hassan Joho aonya dhidi ya siasa za chuki na uchochezi kuelekea uchaguzi wa 2027
· 32 views
