Kenyans Live

Msemaji wa serikali Charles Owino na Chirema Kombo wampigia debe Ruto kuchaguliwa tena 2027

Description (show more)

Msemaji wa serikali Charles Owino na Naibu Gavana wa kaunti ya kwale Chirema Kombo wameendeleza kampeni ya Kumpigia debe Rais William Ruto kuchaguliwa Tena katika uchaguzi mkuu ujao kwa kile wanachodai kuwa ametekeleza miradi ya maendeleo katika eneo la pwani ambayo.

Share: