Kenyans Live

Mgogoro kaunti ya Bungoma watishia shughuli za ukusanyaji ushuru wa kaunti

Description (show more)

Huenda shughuli za ukusanyaji ushuru katika serikali ya kaunti ya bungoma zikakumbwa na changamoto kutokana na mgogoro kati ya maafisa wa ukusanyaji ushuru na idara ya askari wa serikali ya kaunti.

Share: