Kenyans Live

Maelfu wakumbuka mwaka mmoja tangu kifo cha Raila Odinga

Description (show more)

Maelfu ya watu wamejumuika katika kaunti mbalimbali nchini kwa hafla za kuadhimisha mwaka mmoja tangu kifo cha aliyekuwa mwanasiasa mkongwe, Raila Odinga. Wafuasi wake wamemiminia sifa marehemu Raila Odinga, wakimtaja kuwa mwanasiasa aliyepigania maendeleo ya nchi na maslahi ya wananchi wote. Hivi ndivyo mambo yalivyokuwa.

Share: