Wakulima katika kaunti ya Tharaka Nithi wahimizwa kuongeza uzalishaji wa alizeti
Description (show more)
Wakulima katika Kaunti ya Tharaka Nithi wanahimizwa kuongeza uzalishaji wa alizeti ili kukidhi mahitaji yanayoongezeka kutoka Chuka Technical and Vocational College, ambayo inaongeza thamani ya zao hilo kwa kuligeuza kuwa mafuta ya kupikia na chakula cha mifugo. Kwa sasa, taasisi hiyo inahitaji takribani tani tano za alizeti, lakini hupata tani moja pekee kutoka kwa wakulima wa eneo hilo, hali inayolazimisha kutafuta mazao hayo kutoka nje ya kaunti.
Related Videos
More from Citizen TV Kenya
2:52David Ndii: Affordable housing construction workers causing milk shortage
· 64 views

2:31
15:36LIVE | KAA GI KACHA 3/11/2026
· 32 views
14:18🔴LIVE || TV47 News @4p.m with Wakio Mzenge
· 100 views
25:50INTERNATIONAL ROUND UP EP 49 TX 011126
· 36 views
14:50Wathi Mwerũ ũteti-inĩ #INooroRũciinĩ part3
· 32 views
2:14Family dispute erupts after widow finds husband already buried
· 95 views
