Kenyans Live

Murkomen aeleza matumizi ya nguvu dhidi ya waandamanaji wa Gen Z

Description (show more)

Waziri wa Usalama Kipchumba Murkomen alilazimika kuelezea ni kwa nini idara ya Polisi ilitumia nguvu kupita kiasi ili kukabiliana na waandamanaji wa Gen Z waliokuwa wakipinga mswada wa fedha wa mwaka wa 2024. murkomen aliyekuwa katika chuo cha mafunzo ya kijeshi hapa Nairobi pia alitakiwa kuelezea haswa ni kitengo kipi cha usalama ambacho kinahusiana na utekaji nyara wa raia. Seth Olale na taarifa kamili.

Share: