Viongozi Samburu wataka majibu kuhusu vifo vya mifugo wakati wa operesheni ya usalama
Description (show more)
Shinikizo linaongezeka katika Kaunti ya Samburu huku viongozi wakitaka majibu kuhusu vifo vya mifugo vilivyotokea wakati wa operesheni ya usalama iliyohusisha GSU na Kikosi cha Kupambana na Wizi wa Mifugo, ASTU.Viongozi hao wanataka Bunge la Kitaifa kuwaita maafisa wakuu wa usalama pamoja na makamanda wa vitengo hivyo kueleza kuhusu idhini ya operesheni hiyo, muundo wa uongozi na amri, pamoja na kanuni zilizotumika wakati wa operesheni.
Related Videos
More from Citizen TV Kenya
3:21:00LIVE: Good Morning Kenya II 3rd November 2026 II www.kbc.co.ke
· 3.2K views
11:54:59Citizen TV Live:
· 962.1K views
1:16:18🔴LIVE || TV47 Saa Tano
· 811 views
22:31LIVE: Kurunzi Mashinani naye Sheila Yogo II 3rd November 2026 II www.kbc.co.ke
· 504 views
1:01:45LIVE: Lunchtime News with Ben Troy Njue II 3rd November 2026 II www.kbc.co.ke
· 1.1K views
30:11🔴LIVE || TV47 News @1pm with Wakio Mzenge
· 1.1K views
20:42LIVE: Tamrini naye Sheila Yogo II 3rd November 2026 II www.kbc.co.ke
· 454 views
1:01:11LIVE: Prime Edition with Muchuma Odim II 3rd November 2026 II www.kbc.co.ke
· 1.9K views
