Kenyans Live

Mahakama yasitisha ujenzi wa jumba la ghorofa sita kaunti ya Kajiado

Description (show more)

Mahakama ya Mazingira na ardhi imesitisha ujenzi wa jumba la ghorofa sita katika eneo la Olkeri, Kajiado Kaskazini, hadi kesi inayopinga mradi huo itakaposikilizwa na kuwamuliwa.

Share: