Kenyans Live

Busia: wasichana walio chini ya umri wa 26 wapewa mafunzo ya ushonaji kama njia ya kuwawezesha

Description (show more)

Licha ya Kaunti ya Busia kukabiliwa na changamoto ya ndoa za mapema na dhuluma za kijinsia, wasichana walio chini ya umri wa miaka 26 wanapewa mafunzo ya ushonaji kama njia ya kuwawezesha kujitegemea kiuchumi na kujenga upya maisha yao. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya

Share:

Related Videos

More from NTV Kenya