Kenyans Live

Siasa zatamalaki hafla ya kumbukumbu ya Raila Odinga huko Bondo

Description (show more)

Ubabe wa kisiasa kati ya wanasiasa wa upinzani na wale wanaounga mkono serikali ulijitokeza kwenye hafla ya kumbukumbu za Raila Odinga huko Bondo leo. Wanasiasa hao waliendeleza siasa kwenye majukwaa ya hafla hiyo, huku kila upande ukijaribu kuvutia uungwaji mkono wake.

Share: