Walimu wa kike Trans Nzoia wataka serikali kuzingatia afya ya akili ya walimu
Description (show more)
Muungano wa walimu wa kike katika Kaunti ya Trans Nzoia umeadhimisha hatua muhimu zilizopigwa katika sekta ya elimu nchini, wakitambua mchango wao katika kuimarisha viwango vya elimu licha ya changamoto mbalimbali. Hata hivyo, walimu hao sasa wanaitaka serikali kuweka kipaumbele katika masuala ya afya ya akili na msongo wa mawazo miongoni mwa walimu kufuatia majukumu mengi ya nyumbani na kazini, ili kuwawezesha kutekeleza majukumu yao kwa ufanisi bila kukumbwa na changamoto zinazoweza kudhoofisha utendaji wao.
Related Videos
More from Citizen TV Kenya
1:03:14LIVE: Prime Edition with Muchuma Odim II 2nd November 2026 II www.kbc.co.ke
· 1.3K views
2:00
2:00Rising Lionesses register their second victory at the Dakar 2026 Summer Youth Olympic Games
· 8 views
1:22Six Kenyans move to court to block public funding for Bayern-Ajax friendly in Nairobi
· 128 views
4:01Concerns mount over Safety of journalist and press freedom ahead of 2027 polls
· 11 views
1:11:02MONDAY REPORT NEWS ~2ND NOV OCT, 2026
· 1.3K views
4:16Mbĩtĩka cia gũthaitĩra andũ ethĩ gũtabanio Kinangop, Nyandarua
· 75 views
1:29Rael Kuloba exits Dakar judo competition after two defeats
· 34 views
