Kenyans Live

Wahudumu wa afya wabuni njia za kuokoa wazazi

Description (show more)

Je, umewahi kujiuliza iwapo mahali mwanamke anaishi panaweza kuathiri kwa kiasi kikubwa uwezekano wake wa kuishi baada ya ujauzito na kujifungua? Tafakari haya, Mwanamke anayejifungua katika Kaunti ya Nyeri ana uwezekano wa karibu mara tisa zaidi wa kuishi, ikilinganishwa na mwanamke katika Kaunti ya Tana River; na uwezekano huo ni mara nne zaidi ikilinganishwa na mwanamke katika kaunti ya Samburu.

Share: