Sifuna azindua chama cha TEP, atangaza azma ya kuwania urais
Description (show more)
Seneta wa Nairobi, Edwin Sifuna, amezindua rasmi chama cha The Equitable Party (TEP), ambacho atakitumia kuwania urais katika uchaguzi mkuu ujao. Sifuna, ambaye sasa ni kinara wa chama hicho, ameahidi kuleta mabadiliko na nuru mpya ya uongozi kwa Wakenya. Viongozi wengine waliohudhuria hafla hiyo wameendelea kusisitiza umuhimu wa kuungana kwa upinzani ili kumng’oa Rais William Ruto madarakani katika uchaguzi mkuu wa mwaka ujao. Seth Olale anatufungulia jamvi la Nipashe jioni ya leo.
Related Videos
More from Citizen TV Kenya
3:21:00LIVE: Good Morning Kenya II 3rd November 2026 II www.kbc.co.ke
· 3.2K views
11:54:59Citizen TV Live:
· 963.5K views
1:16:18🔴LIVE || TV47 Saa Tano
· 812 views
22:31LIVE: Kurunzi Mashinani naye Sheila Yogo II 3rd November 2026 II www.kbc.co.ke
· 504 views
1:01:45LIVE: Lunchtime News with Ben Troy Njue II 3rd November 2026 II www.kbc.co.ke
· 1.1K views
30:11🔴LIVE || TV47 News @1pm with Wakio Mzenge
· 1.1K views
20:42LIVE: Tamrini naye Sheila Yogo II 3rd November 2026 II www.kbc.co.ke
· 454 views
1:01:11LIVE: Prime Edition with Muchuma Odim II 3rd November 2026 II www.kbc.co.ke
· 1.9K views
