Kenyans Live

Kesi ya ardhi yatikisa mradi wa kiwanda cha mafuta Lamu

Description (show more)

Mipango ya ujenzi wa kiwanda cha kusafisha mafuta cha Dangote mjini Lamu sasa inakabiliwa na kesi mahakamani, huku wakaazi wakitaka kulipwa fidia ya ardhi yao. Hatua hiyo inajiri siku chache kabla ya Rais William Ruto kuuzindua rasmi mradi huo. Wakaazi hao wanaitaka Mahakama ya Ardhi na Mazingira mjini Malindi kusitisha shughuli zote za mradi huo, licha ya vifaa vya ujenzi tayari kuanza kuwasili katika Bandari ya Lamu.

Share: