Serikali yatetea mfumo wa uagizaji mafuta wa G-to-G
Description (show more)
Serikali imetetea mfumo wake wa uagizaji mafuta wa G-to-G kutoka mataifa ya Ghuba, ikisisitiza kuwa mpango huo hautasitishwa kwani umesaidia kupungua kwa bei na kuwaokoa pakubwa Wakenya. Waziri wa Kawi na Petroli Opiyo Wandayi akisema kuwa jumla ya kampuni 6 zinazohusika na uagizaji wa mafuta nchini na hapo awali nchini Uganda, hazikuteuliwa na serikali ya Kenya bali na wauzaji wenyewe kutoka mataifa ya Ghuba.
Related Videos
More from Citizen TV Kenya
3:20
4:46Bomas Contract Row: Senators Demand Answers Over Multibillion-Shilling Project
· 51 views
3:51Ruto Under Pressure Over G-to-G Fuel Deal After Uganda Raises Fresh Concerns
· 150 views
3:41Serikali yatakiwa kufafanua ahadi yake ya kugharamia kikamilifu masomo ya wanafunzi
· 13 views
3:25Jumba la Sheria | Vikao vya Seneti
· 6 views
26:35Earthwise: Lake Turkana remembers its former shores
· 523 views
1:04Vimal Ranpura ang'aa katika raundi ya 9 ya msururu wa gofu ya Duracoat Masters
· 24 views
1:44Afisa Mkuu wa michezo wa NYS aridhishwa na hatua kubwa ambayo NYS Spades ilipiga katika raga
· 14 views
