Rais Ruto apendekeza ushirikishi zaidi wa Afrika kwenye biashara ulimwenguni
Description (show more)
Rais William Ruto anapendekeza mageuzi ya kimtazamo kuhusu nafasi ya bara Afrika kwenye uchumi wa ulimwengu akitoa wito wa ushirikiano unaobuni viwanda, nafasi za ajira na ufanisi badala ya uuzaji wa mali ghafi. Akihutubia kikao cha tatu cha kongamano baina ya Urusi na mataifa ya Afrika mjini Moscow, rais Ruto alisema bara Afrika liko tayari kugeuza ushiriki wake kwenye biashara ulimwenguni kupitia usindikaji wa bidhaa, ujenzi wa viwanda na ubia sawazishi. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive
Related Videos
More from KBC Channel 1
10:25Neltuma: The ‘Poisoned Chalice’ Threatening Water Sources and Livelihoods in ASAL Regions
· 1 views
4:26Inside the new Talanta Stadium
· 7 views
1:03Harambee Stars name squad for Bafana Bafana
· 2 views
1:05:44LIVE | OIMORE | 01/11/2026
· 3 views
1:35Kenya Baseball5 Team Stuns France and Mexico to Reach Youth Olympic Games Semifinals
· 8 views
1:50Jasmine Okande Wins Girls’ 50m Breaststroke at Nairobi Swimming Championships
· 6 views
1:25BESBOL: Kenya ochako maber e tuk besbol e olimpik
· 1 views
2:41Ngei Primary School Unveils New Football and Basketball Facilities
· 1 views
