Mackenzie na washirika 28 wapatikana na hatia ya mauaji ya Shakahola
Description (show more)
Katika mojawapo ya hukumu zilizovuta hisia za wengi nchini, mhubiri Paul Nthenge Mackenzie na washirika wake 28 wamepatikana na hatia ya mauaji ya watu 191 katika msitu wa Shakahola. Akitoa hukumu hiyo katika Mahakama ya Mombasa jana, Jaji Diana Kavedza-Mochache aliwapata viongozi hao wa dhehebu hilo na hatia ya mauaji ya watoto 190 na mtu mmoja mzima, kufuatia madai ya kuwalazimisha waathiriwa kufunga na kuwafanyia vitendo vya unyanyasaji. Brenda Wanga anaangazia juhudi za mawakili wa mashtaka kuhakikisha uchunguzi wa kina na ukusanyaji wa ushahidi madhubuti, uliosaidia kufichua yaliyotokea Shakahola na kutafuta haki kwa waathiriwa pamoja na familia zao.
Related Videos
More from Citizen TV Kenya
1:49:23🔴LIVE || TV47 Saa Tano
· 1.3K views
23:22LIVE: Tamrini naye Sheila Yogo II 2nd November 2026 II www.kbc.co.ke
· 431 views
1:33Langata residents to benefit from free medical camp organised by KMPDU SG Davji Atellah
· 24 views
26:16LIVE: Kurunzi Mashinani naye Sheila Yogo II 2nd November 2026 II www.kbc.co.ke
· 438 views
1:48:28LIVE: Sports Check with Daniel Wahome II 2nd November 2026 II www.kbc.co.ke
· 936 views
1:39:06Future of the opposition: Will they agree on a single candidate?
· 310 views
2:21
3:40Waititu ahukumiwa kwa makosa matatu utakatishaji fedha
· 42 views
