Kenyans Live

Kaunti ya Tana River yaimarisha ushirikiano na mashirika ya kibinafsi kuboresha huduma za afya

Description (show more)

Idara ya afya kaunti ya Tana River imeanza kuratibu utoaji wa huduma za afya kati ya mashirika yasiyokuwa ya kiserikali na kaunti hiyo ili kuboresha utoaji wa huduma za afya kwa wakazi wa kaunti hiyo.

Share: