Mauaji ya Dkt Mutiso: Mahakama yaridhia ombi la kuhojiwa kwa Profesa David Ndetei
Description (show more)
Profesa David Ndetei ameifahamisha mahakama kuu ya Milimani kuwa yeye binafsi aliandika na kutia saini hati ya kiapo iliyopinga kuachiliwa kwa dhamana kwa aliyekuwa mkewe Rose Mbithe, watoto wake wawili na washukiwa wengine wanne wanaokabiliwa na mashtaka ya mauaji ya Dkt. Victoria Mutiso. Akitoa ushahidi mbele ya Jaji Alexander Muteti, profesa huyo mwenye umri wa miaka 77 alisisitiza kuwa yaliyomo kwenye hati hiyo ni ya kweli. Aidha, aliifahamisha mahakama kuwa amekuwa akipokea vitisho kutoka kwa Mbithe na watoto wao wawili kutokana na mzozo wa ardhi katika Kaunti ya Machakos pamoja na matatizo yaliyokuwepo katika ndoa yake na Rose Mbithe. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive
Related Videos
More from KBC Channel 1
LIVE: Good Morning Kenya II 2nd November 2026 II www.kbc.co.ke
23:56🔴LIVE || TV47 News @ 1 P.M With Martin Githinji
34:38LIVE:Lunchtime News with Giverson Maina II 1st November 2026 II www.kbc.co.ke
1:24:28LIVE: Sunday Service from All Saints Cathedral II 1st November 2026 II www.kbc.co.ke
1:44:23Jubilee presidential hopeful Fred Matiang'i outlines his road to State House
49:45SUNDAY LIVE | IN THE HOUSE OF DCP | PART 2
4:12LIVE: Sunday Express II 1st November 2026 II www.kbc.co.ke
4:44