Muteti Mulinge adai kuteswa na kunyimwa chakula
Description (show more)
Mwanaharakati Muteti Mulinge anadai kuteswa na kunyimwa chakula alipokuwa mikononi mwa watu aliowataja kuwa watekaji nyara tangu siku ya Jumatatu. Mulinge, ambaye anaendelea kupokea matibabu hospitalini baada ya kupatikana akiwa ametupwa katika eneo la Lukenya, Kaunti ya Machakos, alitoweka wakati wa maandamano ya kushinikiza kuachiliwa kwa mwanasiasa wa Uganda Kizza Besigye jijini Nairobi. Na kama anavyoarifu Frankline Wallah, mwanaharakati mwingine, Collins Otieno, naye hajulikani aliko baada ya kwenda kuripoti kuhusu kutoweka kwa Mulinge.
Related Videos
More from Citizen TV Kenya
2:06Peter Mijungu: Ng'ur ok ber kendo ok rach
2:02
2:28Wakazi wapokea miundombinu ya umeme Bomwagamo
5:36
1:50Serikali waimarisha usalama wa watahiniwa wa KCSE 2026
· 4 views
6:06Peter Mijungu: 'Empowerment' ma loko ngima en mar ochumi
· 1 views
2:46Kioni warns opposition against internal feuds ahead of 2027 elections
· 28 views
1:43Waiguru signals interest in Deputy President's seat
· 11 views
