Abiria wa Jambojet wasakwa kufuatia kifo cha mgonjwa wa Ebola
Description (show more)
Ufuatiliaji wa watu waliotangamana na mgonjwa wa Ebola aliyefariki umeongezwa, huku abiria na wahudumu wa ndege ya Jambojet waliokuwa kwenye safari hiyo wakitafutwa. Waziri wa Afya Aden Duale anasema abiria zaidi waliotumia ndege hiyo baada ya tarehe mbili Oktoba pia watafuatiliwa ili kuhakikisha wako salama. Mshukiwa wa maambukizi aliyeripotiwa Wajir amepatikana kutokuwa na ugonjwa huo. Na kama anavyoarifu Brenda Wanga, tayari watu 66 waliotangamana na mgonjwa wamefikiwa, huku serikali ikiihakikishia jumuiya ya kimataifa kuwa Kenya ni salama kwa utalii, uwekezaji na biashara.
Related Videos
More from Citizen TV Kenya
15:36LIVE | KAA GI KACHA 3/11/2026
· 10 views
14:18🔴LIVE || TV47 News @4p.m with Wakio Mzenge
· 100 views
25:50INTERNATIONAL ROUND UP EP 49 TX 011126
· 16 views

🔴LIVE || TV47 News @4p.m with Wakio Mzenge
14:50Wathi Mwerũ ũteti-inĩ #INooroRũciinĩ part3
· 30 views
2:14Family dispute erupts after widow finds husband already buried
· 44 views
14:28WENDO: YOUNG KIGNO
· 23 views
26:13LIVE | MBAK NDALO- YUTO MARI
· 30 views
