Madereva walalamikia hatari zinazowakabili kwenye barabara kuu ya Nairobi-Nakuru-Eldoret
Description (show more)
Barabara kuu ya Nairobi kuelekea Nakuru na kisha Eldoret ni miongoni mwa barabara zenye shughuli nyingi zaidi nchini. Hata hivyo, madereva wa masafa marefu wanaonya kuwa ukosefu wa alama za kutosha barabarani, matuta yasiyoonekana kwa urahisi pamoja na malori yanayoegeshwa kando ya barabara vinaendelea kuhatarisha usalama wa watumiaji wa barabara hizo. Madereva hao wanasema changamoto hizo zinawakabili kila siku, huku wakitaka hatua zichukuliwe ili kuboresha usalama na kupunguza ajali katika barabara hizo. Maryanne Nyambura anaangazia changamoto wanazokumbana nazo madereva hao kila
Related Videos
More from Citizen TV Kenya
1:16:18🔴LIVE || TV47 Saa Tano
· 811 views
22:31LIVE: Kurunzi Mashinani naye Sheila Yogo II 3rd November 2026 II www.kbc.co.ke
· 504 views
1:01:45LIVE: Lunchtime News with Ben Troy Njue II 3rd November 2026 II www.kbc.co.ke
· 1.1K views
30:11🔴LIVE || TV47 News @1pm with Wakio Mzenge
· 1.1K views
20:42LIVE: Tamrini naye Sheila Yogo II 3rd November 2026 II www.kbc.co.ke
· 454 views
1:01:11LIVE: Prime Edition with Muchuma Odim II 3rd November 2026 II www.kbc.co.ke
· 1.9K views
51:44🔴LIVE || TV47 PRIME @ 9PM || TV47KENYA
· 4.6K views
11:55:00LIVE | #RAMOGITVLIVE
· 24.8K views
