Kenyans Live

Serikali yafunga vichinjio vinane vya punda kaunti ya Kitui

Description (show more)

Kufungwa kwa vichinjio vinne vya punda katika Kaunti ya Kitui kumewapa wafugaji katika eneo la Mashariki matumaini mapya baada ya miaka ya hasara iliyotokana na wizi wa punda na biashara haramu ya wanyama hao.

Share: