Kenyans Live

Naibu inspekta Eliud Lagat awataka madereva kuzingatia sheria za trafiki kupunguza ajali

Description (show more)

Naibu Inspekta Jenerali wa Polisi, Eliud Lagat, amewataka watumiaji wa barabara kuzingatia sheria na kanuni za trafiki ili kupunguza ajali za barabarani, hasa taifa linapoelekea msimu wa Krismasi na kipindi cha kampeni za kisiasa.

Share: