Kenyans Live

Gavana wa kaunti ya Machakos Wavinya Ndeti azindua Hospitali ya Masii Level 4

Description (show more)

Serikali ya kaunti ya Machakos inaendelea kuimarisha sekta ya afya baada ya gavana wa kaunti hiyo wavinya ndeti kuzindua hospitali ya mpya ya Masii Level 4 katik kaunti ndogo ya Mwala.

Share: