Kenyans Live

Kaunti ya Samburu yaimarisha hatua za kukabiliana na athari za tabianchi kwa afya ya jamii

Description (show more)

Serikali ya Kaunti ya Samburu inatafuta kuimarisha hatua za kukabiliana na changamoto za kiafya zinazohusishwa na mabadiliko ya tabianchi, huku utafiti mpya ukifichua athari za ukame, uhaba wa chakula, utapiamlo na matatizo ya afya ya akili miongoni mwa jamii za wafugaji.

Share: