Kenyans Live

Visa vya unyanyasaji vyaongezeka Migori

Description (show more)

Tabia ya ukeketaji mpakani, kuozwa kwa wasichana walio na umri mdogo na uchimbaji dhahabu  vimesababisha wasichana na wanawake katika baadhi ya maeneo ya Migori kukabiliwa na dhuluma za kimapenzi na kijinsia, mimba miongoni mwa wasichana wa umri mdogo, na wanafunzikukatiza masomo. Hali hiyo hasa imeshuhudiwa huko Kuria, ambako ukeketaji  wanawake unaendelezwa huku jamii za wachimbaji madini katika eneo la Nyatike zikikabiliwa na hatari tofauti. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive

Share: