Kenyans Live

Leneo Lekimain afunga ndoa akiwa na miaka 75, kufungua njia kwa binti zake kuolewa

Description (show more)

Akiwa na umri wa miaka 75, Leneo Lekimain hatimaye amefunga ndoa. Katika utamaduni wa Wasamburu, kuaga dunia bila kuoa kunachukuliwa kuwa jambo lisilokubalika, huku athari zake zikisemekana kuendelea hata baada ya kifo. Lakini ndoa yake pia imefungua njia kwa binti zake ambao hawakuruhusiwa kuolewa hadi mama yao aolewe.

Share: