Kenyans Live

Mawakili watishia kuchukua hatua za kisheria kupinga marekebisho ya sheria ya uchaguzi nchini

Description (show more)

Mawakili wakiongozwa na Shadrack Wambui wa kikundi cha Sheria Mtaani wametishia kuchukua hatua za kisheria kupinga marekebisho ya sheria ya uchaguzi wanayodai yanakiuka Katiba ya Kenya.

Share: