Kenyans Live

Rais Ruto ataka hatua dhidi ya matapeli, aagiza kuvunjwa kwa ukiritimba wa TATA Chemicals

Description (show more)

Rais william ruto sasa anasema atakabiliana vikali na matapeli wanaowangaisha wawekezaji nchini. Akizungumza kwenye hafla ya uzinduzi wa ujenzi wa kampuni ya saruji huko kitui, rais Ruto amesema miradi mingi ambayo ingewafaidi wakenya imecheleweshwa au kukwama kwa sababu ya urasimu na rushwa. Aidha rais Ruto ameagiza kampuni nne mpya kuruhusiwa kuendesha biashara ya magadi nchini ili kuvunja ukiritimba wa kampuni ya TATA chemicals.

Share: