Kindiki atetea ajenda ya Usawa ni Sawa, asema inalenga maendeleo kwa wote
Description (show more)
Naibu Rais profesa Kithure Kindiki ametetea mpango wa serikali usawa ni Sawa akisema inalenga kuhakikisha maendeleo yanawafikia wananchi wote nchini. Akizungumza wakati wa ziara yake huko Bahati na Njoro, Kaunti ya Nakuru, Naibu Rais aliwashutumu viongozi wa upinzani kwa kupinga ajenda hiyo akisema wanajihusisha tu na siasa za ukabila. Aidha, alitetea mpango wa serikali wa nyumba, akisema umeendelea kutoa nafasi za ajira kwa maelfu ya vijana nchini.
Related Videos
More from Citizen TV Kenya
23:56🔴LIVE || TV47 News @ 1 P.M With Martin Githinji
· 795 views
34:38LIVE:Lunchtime News with Giverson Maina II 1st November 2026 II www.kbc.co.ke
· 943 views
1:24:28LIVE: Sunday Service from All Saints Cathedral II 1st November 2026 II www.kbc.co.ke
· 1.1K views
1:44:23Jubilee presidential hopeful Fred Matiang'i outlines his road to State House
· 5.8K views
49:45SUNDAY LIVE | IN THE HOUSE OF DCP | PART 2
· 13.9K views
4:12LIVE: Sunday Express II 1st November 2026 II www.kbc.co.ke
· 199 views
4:44Rivers in Athi basin bear brunt of pollution asindustrial waste is discharged into rivers
· 913 views
2:17Kenyan truck drivers decry harassment at border points over Ebola concerns
· 1.2K views
