Ibada ya wafu 16 wa ajali ya Salama yafanyika Mikindani
Description (show more)
Hali ya huzuni ilishuhudiwa huku jamaa, marafiki na waumini wa Kanisa Katoliki la St Mathias Mulumba Mikindani wakikusanyika kwa ibada ya wafu 16 walioangamia kwenye ajali ya barabarani ya Salama. Askofu Mkuu Dominic Kimengich ameitaja ajali hiyo kama pigo kwa kanisa hilo, akisema jamii imewapoteza mashujaa. Na kama anavyoarifu Francis Mtalaki, viongozi wa Mombasa wamewataka madereva kuwa waangalifu barabarani.
Related Videos
More from Citizen TV Kenya
15:36LIVE | KAA GI KACHA 3/11/2026
· 10 views
14:18🔴LIVE || TV47 News @4p.m with Wakio Mzenge
· 100 views
25:50INTERNATIONAL ROUND UP EP 49 TX 011126
· 16 views

🔴LIVE || TV47 News @4p.m with Wakio Mzenge
14:50Wathi Mwerũ ũteti-inĩ #INooroRũciinĩ part3
· 30 views
2:14Family dispute erupts after widow finds husband already buried
· 44 views
14:28WENDO: YOUNG KIGNO
· 23 views
26:13LIVE | MBAK NDALO- YUTO MARI
· 30 views
