Wadau wahimiza kudadisiwa kwa mswada wa kudhibiti tumbaku
Description (show more)
Wadau wa sekta ya tumbaku katika kaunti za Kisumu na Meru wametoa wito wa kutofautishwa kati ya bidhaa za tumbaku zinazochomwa na zile zisizo chomwa wakisema kwamba masharti ya ujumla huenda yakaathiri biashara ya bidhaa za tumbaku zilizo kihalali katika soko. Wadau hao pia wametilia shaka kupandishwa kwa umri wa wtu wanaoruhusiwa kutumia bidhaa hizo kutoka umri wa miaka 18 hadi 21.maoni hayo yalitolewa wakati wa vikao tofauti vya kupokea maoni vilivyoandaliwa na kamati ya bunge la taifa kuusu afya. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive
Related Videos
More from KBC Channel 1
33:36LIVE: Kurunzi Mashinani II 2nd November 2026 II www.kbc.co.ke
3:40:33Citizen TV Live:
59:42LIVE: Lunchtime News with Ben Troy NJue II 2nd November 2026 II www.kbc.co.ke
3:12:50LIVE: Good Morning Kenya II 2nd November 2026 II www.kbc.co.ke
37:41🔴LIVE || TV47 News @1pm with Brian Furaha
1:53:03🔴LIVE || 90 PLUS
1:49:23🔴LIVE || TV47 Saa Tano
23:22