Kenyans Live

Shahidi afichua misukosuko kati ya Tob Cohen na Sarah Wairimu

Description (show more)

Mfanyakazi wa zamani wa mfanyabiashara marehemu Tob Cohen na mkewe Sarah Wairimu, ambaye anakabiliwa na mashtaka ya mauaji, ametoa ushahidi mahakamani, akiangazia uhusiano uliokuwa na misukosuko kati ya wawili hao kabla ya mfanyabiashara huyo kupatikana amefariki. Shahidi huyo, Shilindwa Shishemi, ameiambia mahakama kuhusu msururu wa matukio yakiwemo kutofautiana na vita aliyodai kuyashuhudia ndani ya nyumba ya Cohen na Wairimu.

Share: